Bruce Melody amkubali Diamond Msanii Bruce Melody Unaweza jiuliza hivi msanii Diamond amewezaje kupenyeza muziki wake kimataifa kiasi cha wasanii mbalimbali maarufu kuanza kumsifia ambapo msanii Bruce Melody wa nchini Rwanda amekiri kumzimia mkali huyo wa Bongo. Read more about Bruce Melody amkubali Diamond