Wananchi watakiwa kutoa taarifa wizi wa dawa

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam Yusuph Mwenda amewataka wananchi kutoa taarifa wanapoona dawa zenye nembo ya serikali zikiwa zinauzwa katika maduka binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS