Oliver Mtukudzi atunukiwa udaktari Mwanamuziki Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe Msanii mkongwe anayekubalika zaidi nchini Zimbabwe na nje ya Zimbabwe Oliver Mtukudzi amepatiwa shahada ya heshima ya udaktari kutokana na moyo wake wa upendo anaouonesha kwa binadamu. Read more about Oliver Mtukudzi atunukiwa udaktari