Pinda awasihi viongozi wa Ukawa kurejea bungeni
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, amesema hadhani kuwa lugha za kejeli na matusi zilizotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ndio sababu ya wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao vya bunge hilo.