Chameleone, Moze na Weasel watinga studio Jose Chameleone, Radio na Weasel Wasanii wa nchini Uganda, Moze Radio, Weasel pamoja na Chameleone baada ya kumaliza ziara zao nje ya Uganda, wameamua kujichimbia studio kwa ajili ya kutengeneza kazi ya pamoja. Read more about Chameleone, Moze na Weasel watinga studio