Malinzi alazimika Kukutana na Vilabu
Rais wa TFF jamal malinzi anataraji kukutana na viongozi wa vilabu vyote vya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kuzungumzia mambo mbalimbali likiwemo la kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni wanaotakiwa kusajiliwa na vilabu hivyo.