Mbunge asisitiza haki kwa watu wenye ulemavu
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi CCM nchini Tanzania Mh. Magreth Mkanga ameikumbusha serikali kuhakikisha kwamba inatenda haki kwa watu wenye ulemavu hasa katika masuala ya upatikanaji wa huduma za afya.

