Filamu ya marehemu Small kutoka
Filamu mpya ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki pamoja na wadau wa filamu nchini iliyobatizwa jina 'Jukwaa la Mapenzi' ambayo imemshirikisha muigizaji nguli nchini marehemu Mzee Small inatarajiwa kutoka Ijumaa ya wiki hii.

