Wanamichezo 250 Kushiriki Kuogelea Tanzania Waogeleaji8 katika Mashindano Zaidi ya wanamichezo 250 kutoka Tanzania Bara na Visiwani watashiriki mashindano ya wazi ya mchezo wa kuogelea yanayotarajiwa kufanyika Septemba 26 mpaka 28 mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Wanamichezo 250 Kushiriki Kuogelea Tanzania