Radio na Pallaso wazidunda Msanii wa muziki Moze Radio pamoja na Pallaso, wamegonga kwa kasi vichwa vya habari nchini Uganda, baada ya kuwekwa chini ya ulinzi wa Polisi kwa nyakati tofauti baada ya wawili hawa kuingia katika ugomvi na kupigana. Read more about Radio na Pallaso wazidunda