Uholanzi yawaandaa vijana wa vijijini kujiajiri
Shirika la maendeleo la Uholanzi (SNV) nchini Tanzania leo limezindua mradi unaojulikana kama 'Opportunities For Youth Employment' ambao utawawezesha vijana kujiajiri katika sekta mbalimbali zikiwemo zile za kilimo na gesi.