Tanzania inakabiliwa na vifo vya watoto wadogo

Waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania, Dkt Seif Rashid.

Serikali ya Tanzania imesema inakabiliwa na changamoto kubwa ya vifo vya watoto wachanga kwa sasa licha ya kupungua kutoka vifo 32 hadi kufikia vifo 26 katika vizazi hai 1,000.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS