MTAALAMU WA NYASI BANDIA AWASILI Shughuli ya uwekaji nyasi bandia ikiendelea katika uwanja wa Gombani Pemba Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ian McClemen amewasili nchini leo alfajiri (Mei 4 mwaka huu) ambapo atakuwepo kwa siku tatu. Read more about MTAALAMU WA NYASI BANDIA AWASILI