Mbunge aijia juu serikali muswada wa kodi ya VAT
Mbunge wa jimbo la Mwibara Mhe Kangi Lugola ameitaka serikali kuwasilisha bungeni muswada wa Ongezelo la Thamani (VAT) ili bunge liupitie na kufuta misamaha yote ya kodi inayotolewa ambayo haina tija kwa taifa la Tanzania.