Kikwete aitaka sekta binafsi kupambana na Ukimwi
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, ameitaka sekta binafgsi nchini kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa ukimwi kwani ugonjwa huo unaathiri nguvu kazi pamoja na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji wa makampuni husika.