Koite jukwaani Dar es Salaam. Msanii wa nchini Mali Habib Koite akicharaza gitaa Msanii wa muziki Habib Koite kutoka nchini Mali atashiriki leo hii katika onyesha la muziki Jijini Dar es Salaam kuadhimisha siku ya muziki duniani. Read more about Koite jukwaani Dar es Salaam.