Kiwango cha ugonjwa wa Sickle Cell kinatisha Takribani watoto 11,000 nchini Tanzania wanazaliwa na ugonjwa wa sikoseli huku asilimia 15 hadi 18 ya watoto chini ya miaka mitano hufa kwa ugonjwa huo kutokana na kutopata matibabu kwa wakati. Read more about Kiwango cha ugonjwa wa Sickle Cell kinatisha