Mshindi wa Miss Tanga 2014 kujulikana leo

Washiriki wa Nice and Lovely Miss Tanga 2014 katika picha ya pamoja

Shindano kubwa kabisa la Nice and Lovely Miss Tanga 2014, linatarajiwa kuwa kivutio kikubwa siku ya leo Jijini Tanga pale Mkonge Hotel, katika tukio ambalo litabarikiwa na ugeni mzito kabisa wa Mkuu wa Mkoa, Luteni mstaafu Chiku Gallawa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS