Rais Kikwete amlilia "Papaa Max"
Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa tasnia ya habari kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha Television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo tarehe 24 Mei, 2014.