Asasi kunufaisha wajasiriamali wa kilimo na mifugo
Wajasiriamali wa kati wanaofanya biashara zinazotokana na mazao ya kilimo, Mifugo, na bidhaa za baharini kama Samaki na zile za misitu sasa watanufaika na fursa za kifedha sambamba na kupata ushauri na kujengewa uwezo wa namna ya kuboresha biashara.

