Samata, Ulimwengu kuiongezea nguvu Stars. Rais Kikwete akiwa na Mbwana Samata (Kulia) na Thomas Ulimwengu (Kushoto) alipokuwa ziarani nchini DRC TP Mazembe imewaruhusu Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kujiungaTaifa Stars iliyoko Zimbabwe kwa ajili ya mechi marudiano. Read more about Samata, Ulimwengu kuiongezea nguvu Stars.