Wakazi Dar wazungumzia mauaji ya Albino
Ikiwa ni siku tatu tu kupita tangu kutokea tukio la mauwaji ya mlemavu wa ngozi huko Simiyu Bariadi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu ikiwemo mauaji ya walemavu wa ngozi.