Bunge la Katiba bila UKAWA ni batili - Wanasheria

Chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS kimesema kuwa kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011, maamuzi yoyote yatakayochukuliwa na Bunge Maalumu la Katiba pasipo uwepo wa wajumbe kutoka kundi la UKAWA yatakuwa batili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS