Watatu wafariki 10 wajeruhiwa katika ajali ya gari
Gari iliyopata ajali
Watu watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kupasuka tairi ya nyuma na kupinduka mara tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida.