Walioliletea sifa Taifa kuenziwa
Baada ya kuwepo kwa malalamiko kwa muda mrefu hatimaye Shirika la Kumbukumbu la taifa linataraji kuanza mkakati wa kukusanya vielelezo vya wanamichezo wa zamani wa Tanzania waliofanya makubwa ili kuweka kumbukumbu zao katika jumba la makumbusho.