Ngumi za ridhaa. Mashindano ya masumbwi ya ridhaa ya 'Meya Cup' kuanza baadaye mwaka huu. Mashindano ya masumbwi ya ridhaa ya 'Meya Cup' yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 4 mwaka huu jijini DSM. Read more about Ngumi za ridhaa.