LHRC, TLS kukatia rufaa hukumu kesi dhidi ya Pinda
Chama cha Wanasheria cha Tanganyika TLS na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC wametangaza kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Juu ya kesi waliyoifungua dhidi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda.

