'Jani' kumponza Bobi

Bobi Wine akiwa karibu na maua hayo

Picha ya msanii Bobi Wine kutoka nchini Uganda ambayo inamuonyesha akiwa nje ya nyumba yake imezua mjadala mkubwa hasa kutokana na picha hii kuonyesha mmea ambao unaonekana kuwa ni bangi ukiwa umeambatana na maua yanayopamba nyumba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS