Waziri Simba akemea mila potofu Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Bi. Sophia Simba. Serikali ya Tanzania imesema kitendo cha baadhi ya makabila nchini kuendeleza mila za kuwakeketa wanawake na watoto ni ukatili mkubwa ambao umekuwa na madhara kiafya kwa wanaotendewa. Read more about Waziri Simba akemea mila potofu