Jim Iyke kuigiza nchini Kenya
Muigizaji Jim Iyke wa Nigeria ameripotiwa kurejeshewa nafasi yake ya uhusika katika filamu ya My Life in Crime inayotengenezewa nchini Kenya, baada ya taarifa kuibuka mwezi uliopita kuwa msanii huyu hatashiriki tena katika filamu hii.

