JK: Kilichovuruga Bunge La Katiba ni “MAPEPO”

Rais Jakaya Kikwete

Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema haoni sababu ya msingi iliyopelekea Bunge Maalum la Katiba kuvurugika zaidi ya "Mapepo"na kuwataka watanzania kuwaombea wajumbe waliosusia bunge hilo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS