Elimu ya awali itasaidia kupunguza ajali - AMEND

Afisa mwandamizi wa asasi inayojishughulisha na masuala ya usalama barabarani ya AMEND Bw. Peter Amos.

Utoaji wa elimu ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za awali na za msingi, imetajwa kuwa moja ya njia zitakazosaidia kuwepo kwa matumizi bora ya barabara pamoja na kupunguza ukubwa wa tatizo la ajali za barabarani nchini Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS