Takwimu yafafanua ongezeko la umri wa kuishi
Ofisi ya taifa ya takwimu imefafanua sababu zilizochangia kuongezeka kwa umri wa kuishi nchini, kutoka kiwango cha awali cha miaka hamsini hadi umri wa miaka sitini na mmoja, kama ilivyobainishwa kwenye chapisho kuu la sensa ya watu na makazi.

