Hospitali hazito huduma bowa kwa albino - UTSS Mkurugenzi wa asasi ya kimataifa inayotetea haki kwa walamavu wa ngozi tawi la Tanzania Bi. Vicky Ntetema. Asilimia 78 ya watu wenye albinism ya wagonjwa wa saratani ya ngozi nchini Tanzania wanaofika hospitali kwa matibabu hawapati huduma hiyo kwa wakati. Read more about Hospitali hazito huduma bowa kwa albino - UTSS