Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika nchini Guinea ya Ikweta
Rais Jakaya Kikwete leo amefunga Mkutano wa Viongozi wa Afrika kwa kuziasa nchi za Afrika kuwa na utashi wa kisiasa na lengo la pamoja kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi.