Wanasheria toeni haki maeneo ya vijijini - Waziri
Taasisi na asasi zinazotoa msaada wa kisheria nchini Tanzania zimetakiwa kusogeza huduma za msaada wa kisheria katika magereza na mahabusu mbali mbali nchini, mahali ambako kuna uhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria.

