Kiungo mbrazil wa Yanga atua Dar
Kiungo mshambuliaji mpya wa timu ya Young Africans SC Andrey Marcel Ferreira Coutinho amewasili mchana wa leo jijini Dar es salaam akitokea kwao nchini Brazil tayari kwa kuanza kazi ya kuwatumikia wana Wanajangwani katika msimu wa 2014/2015.

