Mtoto wa Deborah kufuata nyayo
Meneja ambaye pia ni mwimbaji wa bendi maarufu ya muziki wa dansi jijini Dar es
Salaam 'The Kalunde Band', mwanadada Deborah Nyangi, ameongea na eNewz kuhusu kipaji cha binti yake ambaye anaamini siku moja atafuata nyayo zake katika muziki.

