Jaguar ageukia nyimbo za 'malovee' Msanii wa Kenya Jaguar Baada ya kutamba na wimbo wake 'Kipepeo', msanii ambaye nyota yake inazidi kung'ara kwa mafanikio Jaguar hivi sasa amejipanga kuachia wimbo wake mpya utakaokuwa katika mahadhi ya kimahaba zaidi. Read more about Jaguar ageukia nyimbo za 'malovee'