Polisi yazima maandamano wafanyakazi wa reli
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limezima maandamano ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara), huku abiria zaidi ya 200 wakirudishiwa nauli zao kutokana na mgomo ulioanza tangu Mei 12 mwaka huu.