Ben Pol: Mitandao ina biashara nzuri

Msanii wa RnB nchini Ben Pol

Msanii wa miondoko ya RnB nchini Ben Pol amezungumzia kuhusu mauzo ya nyimbo zake kupitia mitandao yaani Online ambapo baadhi ya wasanii wengi nchini wamekuwa wakijiunga na kuuza kazi zao kupitia njia hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS