Bei za Bidhaa Zadaiwa Kupanda Mjini Dodoma

Baadhi ya bidhaa za Chakula zinazotumika kupika Futari katika mwezi mtukufu wa Ramadhani

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi amewataka wafanyabishara kutopandisha bei za bidhaa mbalimbali wakati huu wa msimu wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani ili kuzipata Baraka za mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS