SUMATRA CCC yataka mgomo wa daladala Mbeya ukome
Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi kavu na Majini (SUMATRA CCC) limeitaka Mamlaka ya usafiri wa nchi Kavu na majini (SUMATRA ) na jeshi la polisi mkoani Mbeya kuchukua hatua kushinikiza wamiliki daladala kumaliza mgomo wao.

