Yvone Sengudi
Mtanzania anayefanyia mziki wake Marekani Yvone Sengudi skionyesha uwezo wake wa kuhimili jukwaa
Mashujaa
Madansa wa kundi la Mashujaa wakionyesha uwezo wao wa kucheza walipokuja kumtambulisha rapa wao mpya ambae anatokea bendi ya FM Academia 'Kitokololo'
Ya Moto Band
Yamoto Band ambao wako chini ya 'Mkubwa na wanawe' wakionyesha uwezo wao wa kuimba acapela
Yvone Sengudu
Pamoja na kucheza Yvone pia alituonyesha uwezo wake wa sauti.

