Coastal Union yatema zaidi ya 10 akiwemo Kado

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imeamua kuwaacha wachezaji wake zaidi ya 10 ambao muda wao ulikuwa umemalizika huku wengine wakiongezewa mikataba ya kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS