Watia nia wote wamepoteza sifa za kugombea-Kibamba
Wakati makada zaidi wa CCM wakiendelea kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuwania urais ambapo leo Chikawe na Kitine wamechukua fomu hizo, mwanaharakati Deusi Kibamba amesema kuwa wagombea wote wamepoteza sifa za kugombea kwa kuvunja sheria.