Watakaonyanyasa makatibu Muhtasi kuchukuliwa hatua
Serikali imesema kuwa haitasita kumchukulia hatua za kisheria mtu yeyote ambaye atajihusisha na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa makatibu mahususi iwe katika ofisi ya umma au ofisi ya mtu binafsi.