'Pakaza' ya Chin Bees kuingizwa kideoni

wasanii wa Bongofleva Chin Bees na G Nako

Msanii Chin Beez amesema kuwa shughuli ya upigaji picha za ngoma yake ya 'Pakaza' aliyomshirikisha G Nako, ilichelewa kutokana na muongozaji Hanscana na pia G.Nako kuwa na shughuli nyingine nje ya mkoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS