Mashabiki, wasanii wafurahia PB mpya
Ujio mpya wa kipindi cha radio cha Planet Bongo ambayo kuanzia leo imeanza kuruka kuanzia saa 7 mpaka saa 10 jioni, ikijikita katika habari na burudani ya muziki wa Bongo Flava pekee, umekuwa ni kivutio kikubwa kwa wadau na mashabiki.