Coutinho na Sherman waanza mazoezi Yanga
Kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga SC Boniface Mkwasa amesema, wanaendelea na mazoezi ambapo mpaka sasa Andrey Coutinho na Kpah Sherman wameshajiunga na kikosi kwa ajili ya kuendelea na mazoezi huku wakimpandisha mchezaji mmoja kutoka kikosi B.

